*(VIP-EDUCATION)! (ELIMU YA KISHUA)!*
Taasisi ya The King Solomon Education Centre(KSEC) iliyopo KAWAWA-ROAD ndani ya Moshi-DC mkoani Kilimanjaro;inakuletea elimu ya kishua(VIP-Education system) kwa kumpa Mwanao Mazoezi(Exercise) na Mitihani pamoja na Majaribio(Test/Examinations) ya aina mbalimbali kwa njia ya Simu yako tu.
Walimu wetu watamtumia Mazoezi na Mitihani, akishaifanya-walimu watasahihisha na kumfanyia USAHIHI pale anapokuwa amekosa!
Gharama italipwa kwa mwezi na ni NAFUU SAANAA!
*"Mshike sana Elimu usimwache aende zake maana ndiyo silaha pekee ya kupambana na Changamoto za Utandawazi!"*
NYOTE MNAKARIBISHWA!!
Mawasiliano: +255 689 881790 au mcmashamba8@gmail.com