Jifunze Njia za Kuingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Muda Wako Wa Ziada na Simu Yako tu 2025

 


Leo tutajifunza njia za kuingiza kipato mtandaoni kupitia muda wetu wa ziada,  Karibuni sana Sound Power Media Productions

Kuna njia nyingi sana za kuingiza kipato kupitia mitandaoni hasa internet. 

Njia rahisi ya kuingiza pesa online bila kusumbuana na wateja au kufanya biashara yoyote ni kuuza maandishi yako kupitia Google na watu pamoja na makampuni watanunua nafasi za kutangaza biashara zao kupitia kwenye Blog yako au website yako. Mfano matangazo mengi unayoona kwenye blog hii sisi tunaingiza pesa watu wanalipa Google kutangaza biashara zao. Google wanatulipa sisi wenye Blogs kuweka matangazo ya watu wengine bila kuongea na mwenye tangazo na hela kwako zinaingia kadri matangazo yanavyoonekana kwenye Blog yako.

Leo tutajifunza kwa vitendo zaidi

Je utawezaje kutengeneza blog na ikuingizie kipato mtandaoni?  

Google wamerahisisha kazi za uandishi wametengeneza platform inaitwa Blogger kwa ajili ya waandishi wa mtandaoni ni bure kabisa kujiunga. na ukifata sheria na taratibu zao basi Google watakua .wanakulipa kupitia Google kampuni ya ukusanyaji fedha za matangazo yote yanayopitia kwenye platform za Google. 


*

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post